Sunday, November 19, 2006

Ajali!


Mzee huyu ambaye jina lake halikutambulika jana mida ya saa kumi hivi alipata ajali ya gari wakati akivuka barabara ya Lumumba maeneo ya Mnazi Mmoja, Dar! Aliteguka kiuno na kupasuka kichwa, dereva alijikata bila kutoa msaada wowote, lakini namba zilidakwa na wasamalia wema... Mzee akakimbizwa Muhimbili kwa matibabu!
Hapa baadhi ya watu wakimshuhudia mzee huyo baada ya kugongwa!

2 Comments:

Blogger Mija Shija Sayi said...

Sasa mbona hawamsaidii hata kusimama?

8:47 AM  
Anonymous Anonymous said...

Hivi ni usaidizi gani hiyo? Hii ni udaku ya waafrika!

4:07 AM  

Post a Comment

<< Home