Kuna Ukweli katika Hili?!
Kuna uvumi huku Bongo unadai kuwa uhusiano wa Jay Z na Beyonce eti hauko sawa kwa sasa, ambapo Beyonce 'analiwa' na Usher Raymonds huku Jay Z naye 'anamla' Rihanna, eti wachunguzi wa mambo hebu nisaidieni katika hilo!
Beyonce Na Usher - video powered by Metacafe
Beyonce Na Usher - video powered by Metacafe
1 Comments:
Nachoshindwa kuelewa ni kwamba hata ikijulikana nani kamla nani ni nini tuna faidika. Hivi Mzawa watu wangapi umewala kisiri au una jua tu ilitokea tu na ni mara moja tu.Unajua mambo ya one night stand? Au hata iwe mara ngapi. Hata nashangaa kwanini na changia hii hoja. DUh! Ukweli ni kwamba uhusiano kati ya mwanamke na mwanamme ni mgumu. Haihitaji Jay Z walanini uki weka mwanamke na mwanamme chochote chaweza kutokea.
Post a Comment
<< Home